Kampuni kulipwa mafuta kujenga barabara Serikali itaipatia kampuni ya ujenzi wa barabara kutoka China mapipa 10,000 ya mafuta yasiyosafi shwa kwa siku ... By Editorial TeamFebruary 13, 2019 Top Stories
UN yasaidia Sudan Kusini kujikinga na ebola Mfuko Mkuu wa Kushughulikia Masuala ya Dharura wa Umoja wa Mataifa (CERF) umetoa dola za Marekani milioni ... By Editorial TeamFebruary 13, 2019 Top Stories
Riek Machar kurejea Sudan Kusini Mei Makamu wa kwanza wa Rais wa Sudan Kusini, Dk Riek Machar amesema atarejea nchini mwake Mei mwaka ... By Editorial TeamFebruary 13, 2019 Top Stories
Jeshi Marekani laua Al Shabaab 15 Jeshi la Marekani limewaua wapiganaji 15 wa kundi la Al-Shabaab kupitia mashambulizi mawili ya anga Kusini mwa ... By Editorial TeamFebruary 11, 2019 Top Stories
Bunge Japan laidhinisha bilioni 28/- kukabili majanga Bunge la Japan limepitisha bajeti ya ziada ya yen trilioni 3.04 sawa na Dola za Marekani bilioni ... By Editorial TeamFebruary 9, 2019 Top Stories
China na Umoja wa Afrika kuimarisha ushirikiano wa amani China na Umoja wa Afrika (AU) zimekubaliana kuimarisha ushirikiano wao kwa masuala ya amani na usalama kupitia ... By Editorial TeamFebruary 9, 2019 Top Stories
Wabunge Venezuela wawekewa vikwazo Marekani imewawekea vikwazo wabunge wa Venezuela kutosafiri kwenda nchini humo. Mjumbe wa Marekani anayehusika na masuala ya ... By Editorial TeamFebruary 9, 2019 Top Stories
Waangalizi wa Urusi wazuiwa Ukraine Bunge la Ukraine limepitisha muswada wa kuwapiga marufuku waangalizi wa Urusi kufuatilia uchaguzi ujao wa rais na ... By Editorial TeamFebruary 9, 2019 Top Stories
Winnie Mandela Kuzikwa leo Mke wa Mandela, Winnie Mandela, Alifariki dunia April 2, mwaka huu na atazikwa leo April 14, katika ... By Editorial TeamApril 14, 2018 Top Stories
Botswana inapata Rais mpya leo kufuatia kungatuka kwa Ian Khama Leo Jumapili April 8 2018, Botswana inapata Rais mpya wa tano, Mokgweetsi Maasisi, kufuatia kungatuka kwa Rais ... By Editorial TeamApril 8, 2018 Top Stories