Unywaji kahawa ukihimizwa utaongeza soko la ndani Leo umekunywa kahawa au chai? Basi fahamu unapokwenda dukani kununua kahawa na kisha kutumia kinywaji hicho, unachangia ... By Editorial TeamFebruary 13, 2019 Top Stories
Wanafunzi kupatiwa maziwa shuleni Rwanda Wizara ya Elimu imetangaza mkakati wa kuhakikisha kila mwanafunzi wa shule za msingi na sekondari nchini hapa, ... By Editorial TeamFebruary 13, 2019 Top Stories
Noti mpya kuanza kutumika Rwanda Benki Kuu nchini hapa wiki hii itatangaza na kutoa noti mpya za faranga 500 na faranga 1,000 ... By Editorial TeamFebruary 13, 2019 Top Stories
Mapato kutokana na utalii kuongezeka Urusi Kitendo cha Urusi kurahisisha upatikanaji wa viza kumetajwa kuwa kutaongeza mapato ya serikali ya nchi hiyo kutokana ... By Editorial TeamFebruary 11, 2019 Top Stories
Mwandishi auawa Mexico akipata kifungua kinywa Maofisa wa Mexico wamethibitisha kuwa Mwandishi wa Habari, Jesus Ramos Rodriguez (Pichani) ameuawa na watu wasiojulikana wakati ... By Editorial TeamFebruary 11, 2019 Top Stories
Coca-Cola kusafisha Coco Beach mwaka mzima Kampuni ya Coca-Cola Kwanza imeingia makubaliano na Halmashauri ya Manispaa ya Kinondoni kwa ajili ya kusafi sha ... By Editorial TeamFebruary 11, 2019 Top Stories
Treni zagongana Hispania, mmoja afa, 95 wajeruhiwa Mtu mmoja amekufa na wengine 95 wamejeruhiwa baada ya treni mbili kugongana uso kwa uso mashariki mwa ... By Editorial TeamFebruary 11, 2019 Top Stories
Jeshi Marekani laua Al Shabaab 15 Jeshi la Marekani limewaua wapiganaji 15 wa kundi la Al-Shabaab kupitia mashambulizi mawili ya anga Kusini mwa ... By Editorial TeamFebruary 11, 2019 Top Stories
10 kortini kwa kufanyakazi bila vibali Wafanyakazi 10 raia wa kigeni wenye asili ya Asia wa Kampuni ya Ortelo Business Corporation (OBC) inayofanya ... By Editorial TeamFebruary 9, 2019 Top Stories
Bunge Japan laidhinisha bilioni 28/- kukabili majanga Bunge la Japan limepitisha bajeti ya ziada ya yen trilioni 3.04 sawa na Dola za Marekani bilioni ... By Editorial TeamFebruary 9, 2019 Top Stories