Mbaroni kifo cha mwanaharakati Polisi inawashikilia watu sita wakituhumiwa kuhusika na kifo cha mwanaharakati wa haki za binadamu, Caroline Mwatha. Hata ... By Editorial TeamFebruary 14, 2019 Top Stories
Watu 17 wafa moto hotelini India Watu 17 wamekufa katika ajali ya moto uliozuka katika hoteli ya Arpit Palace mjini Delhi India. Taarifa ... By Editorial TeamFebruary 13, 2019 Top Stories
Marekani yatakiwa kuondoka Syria Urusi imeitaka Marekani kutimiza ahadi yake ya kuondoa majeshi yake yote nchini Syria. Naibu Waziri wa Mambo ... By Editorial TeamFebruary 13, 2019 Top Stories
Fedha ya Urusi kupanda thamani Thamani ya fedha ya Urusi ya ruble imetajwa kuwa itapanda kwa mwaka huu kutokana na kupanda kwa ... By Editorial TeamFebruary 13, 2019 Top Stories
Mahausigeli kutoka Uganda washikiliwa Oman Wasichana wawili walioondoka nchini Uganda kwenda Oman kufanya kazi za ndani kupitia nchini Kenya wanashikiliwa katika taifa ... By Editorial TeamFebruary 13, 2019 Top Stories
Mgomo Makerere bado moto Baada ya mgomo wa muda mrefu wa wahadhiri wa Chuo Kikuu cha Makerere kutoingia darasani, uongozi wa ... By Editorial TeamFebruary 13, 2019 Top Stories
Museveni awalaumu wanasiasa Uganda Rais wa Uganda Yoweri Museveni amewatupia lawama wanasiasa kutokana na mgogoro wa ardhi wa Apaa, akisema wanatia ... By Editorial TeamFebruary 13, 2019 Top Stories
Kampuni kulipwa mafuta kujenga barabara Serikali itaipatia kampuni ya ujenzi wa barabara kutoka China mapipa 10,000 ya mafuta yasiyosafi shwa kwa siku ... By Editorial TeamFebruary 13, 2019 Top Stories
UN yasaidia Sudan Kusini kujikinga na ebola Mfuko Mkuu wa Kushughulikia Masuala ya Dharura wa Umoja wa Mataifa (CERF) umetoa dola za Marekani milioni ... By Editorial TeamFebruary 13, 2019 Top Stories
Riek Machar kurejea Sudan Kusini Mei Makamu wa kwanza wa Rais wa Sudan Kusini, Dk Riek Machar amesema atarejea nchini mwake Mei mwaka ... By Editorial TeamFebruary 13, 2019 Top Stories