Rayvanny aweka rekodi wimbo wa Tetema Msanii wa muziki wa Bongo Fleva Raymond Shaban maarufu Ray Vanny ameingia katika rekodi za wasanii wachache ... By Editorial TeamFebruary 11, 2019 Burudani
Tuzo za Grammy 2019 zapata pigo Ikiwa leo zinafanyika tuzo za heshima za muziki za Grammy, imebainika kuwa nyota mbalimbali walikataa ofa ya ... By Editorial TeamFebruary 10, 2019 Burudani
Rihanna na Jay Z waibuka tena pamoja Baada ya kupita kipindi kirefu bila ya kuonekana pamoja, juzi Rihanna na Jay-Z wamekutana katika moja ya ... By Editorial TeamFebruary 10, 2019 Burudani
Shoo ya Ali Kiba yafunika Muscat Oman Msanii mkongwe wa muziki wa kizazi kipya, Ali Kiba juzi alifunika katika shoo aliyoifanya Muscat Oman. Hiyo ... By Editorial TeamFebruary 10, 2019 Burudani
Nyoshi aeleza sababu za kukosa mapato Mwanamuziki wa muziki wa dansi, Nyosh Al Sadat amesema kinachowafanya wakose mapato katika matamasha wanayofanya ni muda ... By Editorial TeamFebruary 9, 2019 Burudani
Khadija Kopa ampigia debe Diamond Mkongwe wa muziki wa taarabu nchini Tanzania, Khadija Kopa amemuomba Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, ... By Editorial TeamFebruary 9, 2019 Burudani
Dogo Janja atangaza rasmi kuachana na Uwoya Msanii wa muziki wa kizazi kipya, Abdulaziz Chande ‘Dogo Janja’ juzi alivunja ukimya wa muda mrefu baada ... By Editorial TeamFebruary 9, 2019 Burudani
Miss Tanzania Kuanza kusakwa leo Mashidano ya Urembo ya Miss Tanzania 2018 chini ya uongozi mpya wa Kampuni ya The Look yanaanza ... By Editorial TeamJune 29, 2018 Burudani
Vee Money awakubali waandaaji wa Bongo Msanii wa kizazi kipya,Vanessa Mdee ‘Vee Money’ anayetamba na Albamu ya ‘Money Monday’, amesema hategemei kufanya kazi na waandaji ... By Editorial TeamApril 14, 2018 Burudani
Ben Pol alalamika Mauzo ya Albamu Mkali wa miondoko ya R&B, Benard Paul ‘Ben Pol’ ametoboa siri kwamba hakuna faida yeyote aliyoipata katika utoaji ... By Editorial TeamApril 14, 2018 Burudani