Top Stories

Vituo vya TV vimefungiwa baada ya kurusha Raila akila kiapo

0

Nairobi, Mamlaka ya mawasiliano nchini Kenya ilizima mitambo kwa Vituo Vikuu vya Utangazaji; NTV, Citizen TV na KTN siku ya jumanne.

Mhariri Mkuu wa Nation Media Group, Linus Kaikai, kutokana na uwezo wake kama Mwenyekiti wa Chama cha Wahariri nchini Kenya, amesema kuwa tishio la maelekezo lilifanyika katika mkutano wa wamiliki wa Vyombo vya Habari siku ya Ijumaa katika Ikulu, Nairobi.

Lakini Maina ambaye alihudhuria mkutano uliofanyia Ikulu ya Nairobi, Alikanusha kuwa hawakupewa tishio lolote kama inavyodaiwa na Linus Kaikai.

Soma pia:  Sauti Sol - Afrikan Star featuring Burna Boy (Official Music Video)

Comments

Comments are closed.

More in Top Stories