Top Stories

Mahakama imetaifisha Dhahabu zenye Thamani ya TZS M. 989.9

0
Mahakama imetaifisha Dhahabu
Sheria

Mahakama ya Kisutu iliopo katika jiji la Dar es Salaam, imetaifisha dhahabu zenye thamani ya Shillingi Millioni 989.9 pamoja na fedha za nchi 15 tofauti walizokamatwa nazo wafanyabiashara hao wawili wa Zanzibar, ambao ni Suleiman na Ali Juma.

Pia Mahakama, imewahukumu kifungo cha kutumikia miaka 5 jela au faini ya Shillingi millioni 6 kwa kosa la kupeleka madini nchini Dubai kinyume na Sheria za Tanzania

Soma pia:  Tundu Lissu alivyowasili Brussels Ubelgiji

Comments

Comments are closed.

More in Top Stories