Top Stories

Tume ya TCU imefanya uteuzi wa katibu Mtendaji

0
Tume ya TCU imefanya uteuzi wa katibu Mtendaji
Profesa Charles Kihampa

Profesa Charles Kihampa ameteuliwa na Tume ya Vyuo Vikuu Tanzania (TCU) kuwa Katibu Mtendaji.

Uteuzi huo umefanyika ili kuziba nafasi ya Profesa Eleuther Alphonce Mwageni ambae atastaafu kazi za utumishi wa umma mwezi Machi mwaka 2018.

Kabla ya uteuzi huo, Prof. Kihampa alikuwa dean wa shule ya Sayansi ya Mazingira na Teknolojia katika Chuo Kikuu cha Ardhi tangu mwezi Novemba  mwaka 2016.

Maelezo zaidi kwenye barua ya uteuzi huo hapo chini;

Tume ya TCU imefanya uteuzi wa katibu Mtendaji
Barua ya Uteuzi huo
Soma pia:  Kifusi chaua Mgodini Kitunda

Comments

Comments are closed.

More in Top Stories