Michezo

Phillippe Continho ametambulishwa rasmi Barca

0
Phillippe Continho ametambulishwa rasmi Barca
Countinho akipanda ndege kuelekea Barcelona, Uhispania.

Philippe Coutinho raia wa nchi ya Brazil, mwenye umri wa miaka 25. Klabu ya Barcelona ya nchni Uhispania wamekubaliana na Klabu ya Liverpool ya nchini Uingereza kuhusu uhamisho wa Philippe Coutinho.

Kiungo huyo wa Liverpool ambae ni raia wa Brazil, uhamisho wake kiasi cha pauni millioni £142, na kumfanya kuwa miongoni mwa wachezaji ghali zaidi duniani.

Coutinho atatia saini rasmi ya mkataba wake mpya wa miaka mitano na nusu kuchezea Klabu ya Barcelona Nou Camp.

Tayari Coutinho ametambulishwa rasmi kuwa mchezaji wa Klabu ya Barcelona baada ya kusajiliwa akitokea Klabu ya Liverpool ya Uingereza kwa mkataba wa miaka mitano na nusu.

Phillippe Continho Barcelona
Jezi mpya ya Countinho
Phillippe Continho Barca
Countinho Akiwasili Barcelona, Uhispania
Soma pia:  Mahakama imetaifisha Dhahabu zenye Thamani ya TZS M. 989.9

Comments

Comments are closed.

More in Michezo