Mamlaka ya Udhibiti wa Usafiri wa Majini na Nchi Kavu nchini Tanzania (SUMATRA), imetoa tamko kuwa imepanga kuruhusu mabasi ya mikoani kufanya safari zake muda wote (mchana na usiku), ikiwa ni hatua za kuongeza tija katika sekta ya usafiri nchini.
SUMATRA kuruhusu mabasi ya mikoani kusafiri usiku

Stendi ya mabasi ya mikoani Ubongo, Dar es salaam.














Comments