Top Stories

Baba mzazi wa Michael Jackson afariki dunia

0
Baba mzazi wa Michael Jackson afariki dunia
Baba mzazi wa Michael Jackson, Joe Jackson

Baba mzazi wa aliyekuwa mfalme wa muziki wa Pop duniani, Michael Jackson ‘Joe Jackson’, alifariki dunia mchana wa Juni 27, mwaka huu mjini Los Angeles nchini Marekani akiwa na umri wa miaka 89.

Taarifa kutoka mtandano wa TMZ nchini Marekani zinasema kuwa Joe Jackson alilazwa hospitalini tangu Machi mwaka huu akisumbuliwa na saratani.

Joe ni mmoja wa mameneja walioacha historia nchini Marekani, kwa kuwameneji watoto wake katika kazi zao za muziki akiwamo, Michael Jackson na Janeth Jackson.

Baba mzazi wa Michael Jackson, Joe Jackson
Joe Jackson akiwa pamoja na watoto wake
Soma pia:  Phillippe Continho ametambulishwa rasmi Barca

Comments

Comments are closed.

More in Top Stories