Burudani

Rihanna Awaza kuwa Mwanamitindo

0
Rihanna Awaza kuwa Mwanamitindo
Rihanna

Mwanamuziki wakike maarufu duniani anayeishi nchini Marekani, Rihanna amesema kuwa anamawazo ya kuwa Mwanamitindo.

Mrembo huyo alilieleza jariba la nchini Marekani wakati akihojiwa hivi karibuni.

Rihanna alisema amekuwa ana ndoto hiyo kufuatia baadhi ya marafiki zake kumshawishi kushiriki mashindano ya Urembo.

Rihanna Mwanamitindo
Rihanna

“Napenda kuwa Mwanamitindo lakini kazi zangu zinanibana mno na kusababisha kukosa muda,” alisema Mrembo huyo Rihanna

Hata hivyo, mrembo huyo amesema ipo siku moja anaweza kufanya jambo hilo.

Soma pia:  Tuzo za Grammy 2019 zapata pigo

Comments

Comments are closed.

More in Burudani