Burudani

Rapper Jay Z si mwaminifu kwa Beyonce

0
Jay Z si mwaminifu kwa Beyonce
Jay Z na mkewe Beyonce

Rapper kutoka nchini Marekani, Jay Z aumbuka baada ya kudai kwamba yeye si Mwaminifu kwa Beyonce.

Rapper huyo alimesema hayo wakati akihojiwa na baadhi ya vyombo vya habari nchini Marekani, Alisema amekuwa si mwaminifu kwa mke wake Beyonce, kitu ambacho kimekuwa kinamsononesha.

Jay Z alisema jambo hilo imebidi aliweke wazi kwa vile kuna wakati anakuwa na tofauti na mke wake.

“Najua namkosea sana mke wangu, lakini mimi leo niseme si mwaminifu sana mbele ya Beyonce,” alisema Rapper huyo bila ya kufafanua zaidi.

Hata hivyo, taarifa zaidi, zimeeleza kuwa mwanamuziki huyo amekuwa akihusishwa na uhusiano wa kimapenzi na baadhi ya wanawake nje ya ndoa yake.

Jay Z aumbuka
Rapper Jay Z akiwa na familia yake.
Soma pia:  Mashabiki wamtibua Davido

Comments

Comments are closed.

More in Burudani