Michezo

Maurizio Sarri kurithi Mikoba

0
Maurizio Sarri kurithi Mikoba
Maurizio Sarri

Kocha wa timu ya Napoli, Maurizio Sarri (Pichani), ametajwa kuchukua mikoba ya Antonio Conte.

Taarifa iliyotolewa jana na vyomba vya habari nchini humo imeeleza kuwa kocha huyo huenda akajiunga na Chelsea baada ya uongozi wa klabu hiyo kuvutiwa na uwezo wake.

Hata hivyo, Meneja huyo ameshindwa kuthibitisha ukweli juu ya uwepo wa taarifa hiyo. Wakati hayo yakiendelea, Kocha wa Eintracht Frankfurt, Niko Kavoac ametangazwa kuinoa Bayern Munich msimu ujao.

Soma pia:  Sarri ataka Juventus imsajili Danny

Comments

Comments are closed.

More in Michezo