Michezo

Makombe feki yanaswa nchini Argentina

0
Makombe feki yanaswa nchini Argentina
Kombe la Dunia

Makombe feki nane yamekamatwa nchini Argentina yakiwa na muonekano sawa na ule wa Kombe la Dunia huku yakijazwa dawa za kulevya aina ya bangi na cocaine.

Taarifa iliyotoka kwenye mitandao ilisema makombe hayo nane yalikamatwa siku ya Ijumaa wiki iliyopitaa mjini Casanova katika jimbo la Greater Buenos Aires.

Jeshi la Polisi mjini Isidro Casanova limethibitisha taarifa hizo na tayari watu nane wanashikiliwa kwa tukio hilo na imekadiriwa kuwa kila kombe lilikuwa na mzigo wa Cocaine wenye thamani ya dola za kimarekani 14,819.

Soma pia:  Mohamed Salah awaangukia mashabiki

Comments

Comments are closed.

More in Michezo