Michezo

Liverpool yamtaka kumsajili lorenzo wa Napoli

0
Liverpool yamtaka kumsajili lorenzo
Lorenzo

Timu ya Liverpool, imeanza mchakato wa kutaka kumsajili mshambuliaji wa Napoli, Lorenzo Insigne kwajili ya kuongeza nguvu kwenye kikosi hicho msimu ujao.

Mshambuliaji huyo wa timu ya taifa ya Italia, amekuwa na kiwango bora msimu huu na kuwavutia viongozi wa Liverpool walioonyesha nia ya kutaka kumsajili

Soma pia:  Ushindani mkubwa Ligi Kuu England

Comments

Comments are closed.

More in Michezo