Michezo

Gareth Bale kubaki Madrid

0
Gareth Bale kubaki Madrid
Gareth bale

Mshambuliaji wa timu ya Real Madrid, Gareth Bale amefunguka na kudai kwamba ataendelea kubaki Madrid na hana mpango wa kuondoka kwenye timu hiyo.

Gareth Bale akizungumza na Jarida moja la nchini Hispania, alisema ameamua kutulia ndani ya kikosi hicho.

Gareth bale
Gareth bale

Alisema kuwa sasa mawazo yke yamehamia kujituma zaidi ili aweze kufanya vizuri zaidi na kupata namba katika kikosi hicho cha Madrid.

Kauli hiyo ya Gareth Bale imekuja siku chache baada ya kuwepo kwa tetesi kwamba Mshambuliaji huyo anatakiwa na timu mbali mbali za Barani Ulaya.

Soma pia:  Arsene Wenger kufanya usajili

Comments

Comments are closed.

More in Michezo