Michezo

Bale azigonganisha Real Madrid na Inter Milan

0
Bale azigonganisha Real Madrid na Inter Milan
Bale

Gareth Bale, Mshambuliaji mwenye umri wa miaka 28, anayechezea Real Madrid mpaka kufikia sasa haijajulikana kama atabakli Real Madrid au wapi atachezea msimu ujao wa 2018/2019.

Timu ya Inter Milan ya Italia na Real Madrid ya Hispania zimeanza kupigana vikumbo kuwania saini ya Mshambuliaji huyo Gareth Bale.

Kwa mujibu wa Gazeti moja la nchini Italia, Bale amekuwa anawindwa na timu ya Inter Milan kupewa mkataba mnono baada ya kuonyesha uwezo wake wa hali ya juu akiwa Uwanjani.

Hata hivyo Real Madrid wanataka kumbakisha mchezaji huyo.

Soma pia:  Arsenal yakaribia kumsajili Ceballos

Comments

Comments are closed.

More in Michezo