Michezo

Arsenal, Everton kumgombania Andre Gomes

0
Arsenal Everton kumgombania Andre Gomes
Andre Gomes

Arsenal wamepanga kuongeza uhamasa na badhi ya timu ikiwemo Everton kwa kutaka kumsajili kiungo wa kati wa Barcelona, Andre Gomes ambae tangia mwaka jana anachezea Everton kwa uhamisho wa mkopo.

Mchezaji huyo ambaye ni raia wa Ureno amekuwa katika kiwango kizuri na kuwafanya viongozi wa timu hizo mbili kutaka kumsajili kwa kumpa mkataba mnono.

Hata hivyo, wakala wa mchezaji huyo mwenye umri wa miaka 25, ameshindwa kutoa taarifa juu ya mpango huo.

Soma pia:  Simba yampa mkataba wa miaka miwili Kagere

Comments

Comments are closed.

More in Michezo