Burudani

Diamond aweka wazi hisia zake baada ya Kuachwa na Zari

0
Diamond aweka wazi hisia zake baada ya Kuachwa
Picha: Diamond na Zari walivyokuwa pamoja Zanzibar

Mwanamuziki maarufu wa Bongo Fleva, Nasibu Abdul (Diamond Platnumz). ambaye anafanya vizuri kuwakilisha muziki wa Bongo Fleva Kimataifa na pia anatarajia kutoa Album yake mpya inayoitwa ” A boy from Tandale” baada ya siku 28.

Diamond Platnumz ameonyesha wazi kuumizwa baada ya kuachwa na mzazi mwenzake Zarinah Hassan (Zari the Boss Lady) kwa kuweka mfululizo wa post kwenye ukurasa wake wa Instagram.

Post ya kwanza;

Hayo Mashairi Chaganya na Ua Jeusi…… Dah @mbosso_ naona Kama Ulintabiria Mdogo angu???‍♂️

A post shared by Chibu Dangote (@diamondplatnumz) on Feb 15, 2018 at 11:28pm PST

Post ya pili;

Dah, Kuna nyimbo zingine ziliandikwaga jamani…Wadau Dua zenu Muhimu…. Maana naona kabisa mwezi wa Tatu Siuoni?

A post shared by Chibu Dangote (@diamondplatnumz) on Feb 16, 2018 at 3:08am PST

Soma pia:  Linex Sunday ajuta kumkatalia Godzillah

Post ya tatu na ya mwisho;

Unajua Nyimbo zingine Unaziimba ila Hata we mwenyewe zinakuingia Baadae?…. Anyways 28 Days Before the Reveal of #AboyFromTandale Album!? #SikoMi Bonus Track on #AboyFromTandale Available on All Digital Platforms now!

A post shared by Chibu Dangote (@diamondplatnumz) on Feb 16, 2018 at 10:10am PST

Comments

Comments are closed.

More in Burudani