Youtube ni mtandao wa kushare video ambao ulizinduliwa nchini Marekani, febuari 14, 2005 na unamilikiwa na Shirika la Google. Tafiti zinaonyesha kuwa aina ya video ambazo zinazoongoza kuangaliwa zaidi kupitia mtandao wa Youtube ni za muziki.
Tarehe 21 J,uni, 2015 video mbili tu; “Ganganam Style”- PSY na “Baby”- Justin Bieber, ndio video ambazo zilipata views zaidi ya bilioni moja.
Miezi mitatu na nusu baadaye, Oktoba 7, video kumi nyengine ziliweza kufikisha views bilioni moja.
Januari, 2018, video 93 zilikuwa katika orodha ya kuwa na views zaidi ya bilioni moja, na kati ya hizo 20 zilikuwa na views zaidi ya bilioni mbili; nne kati ya hizo zilikuwa na views zaidi ya bilioni tatu na moja ilikuwa na zaidi ya vews bilioni nne ambapo ni “Despacito”.
Januari, 2018, Video tano ambazo zilifikisha views zaidi ya bilioni moja kwa haraka zaidi ni: “hello” (siku 87), “Despacito” (siku 96), “Shape of You” (siku 97), “Mi Gente” (siku 102), na “Sorry” (siku 136).
Na Video tano ambazo ziliweza kufikisha views zaidi ya bilioni mbili kwa haraka zaidi ni: “Despacito” (siku 154), “Shape of You” (siku 187), “Chantaje” (siku 379), “Sorry” (siku 394) na “See You Again” (siku 515).
Orodha kamili ni hii:
Rank | Jina na Video | Artist | Views (Bilioni) | Upload Date |
---|---|---|---|---|
1 | Despacito | Luis Fonsi ft Daddy Yankee | 4.71 | Januari 12, 2017 |
2 | See You Again | Wiz Khalifa ft Charlie Puth | 3.35 | Aprili 6, 2015 |
3 | Shape of You | Ed Sheeran | 3.08 | Januari 30, 2017 |
4 | Gangnam Style | PSY | 3.06 | Julai 15, 2012 |
5 | Uptown Funk | Mark Ronson ft Bruno Mars | 2.89 | Novemba 19, 2014 |
6 | Sorry | Justin Bieber | 2.87 | Octoba 22, 2015 |
7 | Masha and the Bear: Recipe for Disaster" | Get Movies | 2.77 | Januari 31, 2012 |
8 | Sugar | Maroon 5 | 2.50 | Januari 14, 2015 |
9 | Shake It Off | Taylor Swift | 2.48 | Agosti 18, 2014 |
10 | Bailando | Enrique Iglesias ft Descemer Bueno na Gente De Zona | 2.46 | Aprili 11, 2014 |
Comments