Sarri ataka Juventus imsajili Danny Kocha wa Juventus, Maurizio Sarri ameitaka klabu yake kumsajili nyota wa klabu ya Tottenham Hotspurs, Danny Rose. ... By Editorial TeamJuly 24, 2019 Michezo