Burudani

Sala Sala – Godzilla (Song Lyrics/Mashairi)

0
Sala Sala - Godzilla Lyrics
RIP Godzilla

Salasala – Godzilla

Intro)

Wats up, in da house
Chali ina da huz Dzila ina huz
Welcum to ma hood men
Kevoooo

Lyrics – Mashairi

Mtaani tunaishi kama maninja,
Ukizingua dakika mbili washakuchinja,
Kuna mabrazem pia mapedeshee,
Kwenye kona pale stand kuna internet cafe,
Ma hardcore wamejazana usiseme,
Allstars zimeanikwa juu ya nyaya za umeme,
Maisha kuwindana sio peace kama heaven,
Machizi wanawindana na mAK47,
Kuishi kufanyiana sio kuwekeana vitisho,
Ni suala la kawaida kusukia milio ya pisto,
Huwa namshukuru Mungu kila siku inapokwenda,
Na haiwez kupita siku bila kuibukiwa na difenda,
Watu wa huku toka zamani wanaroho za kimasta,
Kila siku ni skendo nyumba za watu zimepigwa chata,,,
Mahustle
ndo wanaisho vip
Na waliokufa nigga tushawapa R.I.P
Kila siku watu busy kama NYC,
Hatuna back kwenye hood kama gari,
Salasala is my hood for show,
Ni place ambayo sijawahi kuwabefore,

Kiitikio

Soma pia:  Shoo ya Ali Kiba yafunika Muscat Oman

Thanx God round hii
nipo home
Karibu kwenye Dzila kingdom
Hata kama show free
ntaparfom
West side Salasala
is the hood i from*2

Mashairi

Salasala ipo ndani wilaya ya kino
Kuna mahustle wenye roho mbaya kama walatino
Tru story men
sio nakupa vitisho
Njoo muone zilla anavyosomoke ashk kwa kiko
Njoo kwa hekima
nakupa tahadhari
Kila kona wanacheza kamari
Kuna wakabaji wanapiga ngumi kama bondia
Deal zote utapata mpaka fedha bandia
Kuna wamama madada pia masista duu
Ukiwachek kwa mguu wana zile tattoo
na mavazi ya kinyamwez kama tupo majuu
Ukitaka beef men nasimama me and you
Kwa njia za shotkat
watu wanapata mkwanja
Ukiona wana mabegi
ujue ndani yamejaa ganja
masela hawaishii kuvuta fegi.
albams zinaenda sokoni Hatuzii tapes kwenye begi

Soma pia:  Ray C kuolewa na mzungu Uingereza
Godzila – Salasala (Official Audio)

RIP Godzilla

Comments

Comments are closed.

More in Burudani