Burudani

DIAMOND PLATNUMZ ft OMARION – African Beauty (Official Music Video)

0

Diamond Platnumz amezindua Rasmi Album yake inayoitwa A boy from Tandale usiku wa kuamkia leo akiwa Nairobi, Kenya.

Vile vile baada ya uzinduzi huo wa albamu mpya ameamua kuachia video ya wimbo mpya unaoitwa African Beauty.

Soma pia:  Ray C kuolewa na mzungu Uingereza

Comments

Comments are closed.

More in Burudani