Michezo

Ben Arfa kuondoka PSG

0
Ben Arfa kuondoka PSG
Hatem Ben Arfa

Ben Arfa (31) kupitia ujumbe aliyouweka kupitia ukurasa wake wa Instagram inaonyesha kuwa huenda akaonda PSG hivi punde.

Timu ya soka ya Paris Saint Germain ya nchini Ufaransa ipo kwenye wakati mgumu baada ya kuwepo kwa taarifa kuwa huenda ikampotea kiungo wao, Hatem Ben Arfa.

Tayari kocha wa timu hiyo, ameonyesha nia ya kutaka kumzuia Ben Arfa ambaye amekuwa akitakiwa na Klabu ya Leicester City ya nchini Uingereza.

Bientôt la fin de mon aventure au PSG, malgré des moments difficiles, je suis heureux d’avoir porté ce maillot, je garderai de merveilleux souvenirs avec mes coéquipiers et à travers ce message j’en profite pour remercier les nombreux soutiens .. j aimerai toujours ce club #Psg #icicestparis

Soma pia:  Mohamed Salah huenda akauzwa kwa dau kubwa

A post shared by Hatem Ben Arfa (@hatembenarfaofficiel) on Mar 29, 2018 at 4:34am PDT

Comments

Comments are closed.

More in Michezo