Michezo

Antoine Griezmann anatakiwa Barcelona

0
Antoine Griezmann anatakiwa Barcelona
Antoine Griezmann

Antoine Griezmann (27) Kiungo Mshambuliaji wa Atletico Madrid ambaye ni Rai wa Ufaransa, anatakiwa na Klabu ya Barcelona.

Nyota huyo huenda akatua ndani ya timu hiyo kabla ya kuanza kwa msimu ujao katika kipindi cha dirisha la Usajili ambapo wakati wowote wakala wa mchezaji huyo, atakutana na viongozi wa klabu hiyo ya Barcelona.

Mbali na Barcelona, vile vile Man United pia wameonyesha kumwinda Mfaransa huyo, mpaka sasa haijajulikana wapi klabu gani atachezea msimu ujao.

Soma pia:  Klopp: Liver haitatumia fedha nyingi kusajili

Comments

Comments are closed.

More in Michezo