Burudani

Gigy Money – Mimina (Official Music Video)

0

Gigy Money ni msanii wakike wa Bongo Fleva ambaye aliyepata umaarufu Mkubwa sana kupitia wimbo wake wa Nampa papa, wimbo huo ulifanya vizuri sana na ulipata airtime za kutosha katika media mbali mbali nchini Tanzania.

Hivi sasa ameamua kutuletea ngoma yake mpya ukiwa pamoja na video, wimbo huo unaitwa Mimina.

Soma pia:  Linex Sunday ajuta kumkatalia Godzillah

Comments

Comments are closed.

More in Burudani