Mahausigeli kutoka Uganda washikiliwa Oman Wasichana wawili walioondoka nchini Uganda kwenda Oman kufanya kazi za ndani kupitia nchini Kenya wanashikiliwa katika taifa ... By Editorial TeamFebruary 13, 2019 Top Stories
Guardiola amtetea Sarri na kipigo Kocha wa Manchester City, Pep Guardiola amemhurumia mwenzake wa Chelsea, Maurizio Sarri na kusema kuwa anatakiwa apewe ... By Editorial TeamFebruary 13, 2019 Michezo
Mashabiki wamtibua Davido Nyota wa muziki nchini Nigeria David Adeleke ‘Davido’ amewashukia mashabiki wake wanaomtaka aachane na siasa kwa kuwambia ... By Editorial TeamFebruary 13, 2019 Burudani
Mgomo Makerere bado moto Baada ya mgomo wa muda mrefu wa wahadhiri wa Chuo Kikuu cha Makerere kutoingia darasani, uongozi wa ... By Editorial TeamFebruary 13, 2019 Top Stories
Museveni awalaumu wanasiasa Uganda Rais wa Uganda Yoweri Museveni amewatupia lawama wanasiasa kutokana na mgogoro wa ardhi wa Apaa, akisema wanatia ... By Editorial TeamFebruary 13, 2019 Top Stories
Kampuni kulipwa mafuta kujenga barabara Serikali itaipatia kampuni ya ujenzi wa barabara kutoka China mapipa 10,000 ya mafuta yasiyosafi shwa kwa siku ... By Editorial TeamFebruary 13, 2019 Top Stories
UN yasaidia Sudan Kusini kujikinga na ebola Mfuko Mkuu wa Kushughulikia Masuala ya Dharura wa Umoja wa Mataifa (CERF) umetoa dola za Marekani milioni ... By Editorial TeamFebruary 13, 2019 Top Stories
Riek Machar kurejea Sudan Kusini Mei Makamu wa kwanza wa Rais wa Sudan Kusini, Dk Riek Machar amesema atarejea nchini mwake Mei mwaka ... By Editorial TeamFebruary 13, 2019 Top Stories
Unywaji kahawa ukihimizwa utaongeza soko la ndani Leo umekunywa kahawa au chai? Basi fahamu unapokwenda dukani kununua kahawa na kisha kutumia kinywaji hicho, unachangia ... By Editorial TeamFebruary 13, 2019 Top Stories
Wanafunzi kupatiwa maziwa shuleni Rwanda Wizara ya Elimu imetangaza mkakati wa kuhakikisha kila mwanafunzi wa shule za msingi na sekondari nchini hapa, ... By Editorial TeamFebruary 13, 2019 Top Stories